Home » » MKUTANO WA CUF WAFUNIKA MBAYA VIWANJA VYA KIBANDA MAITI MJI ZANZIBAR

MKUTANO WA CUF WAFUNIKA MBAYA VIWANJA VYA KIBANDA MAITI MJI ZANZIBAR

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 1, 2013 | 8:07 PM

                 


01AMsanii Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha  Bulioni Mjini Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 01BMsanii Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha  Bulioni Mjini Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 04Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria Mkutano wahadhara, wakisikiliza hutba ya Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi hayupo pichani alipokuwa akiwahutubia katika viwanja vya kibanda maiti nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 05Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi, akihutubia maelfu ya wananchi waliofika kiwanjani hapo leo jun 06 2013
03Waandishi wa habari wa vyombo tofauti Nchini wakihakisha wanapata matokeo mbalimbali yaliojiri katika Mkuto wa CUF ulifanyika kibanda maiti.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.)
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA