Home » » MKUTANO WA CCM MAKAMBAKO NI WAUA NGUVU YA UPINZANI ,NAPE NA KINANA WAMWAGA SUMU KWA CHADEMA WAZOA WANACHAMA WAPYA 150.....

MKUTANO WA CCM MAKAMBAKO NI WAUA NGUVU YA UPINZANI ,NAPE NA KINANA WAMWAGA SUMU KWA CHADEMA WAZOA WANACHAMA WAPYA 150.....

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 1, 2013 | 7:58 PM


 katibu wa idara  ya itikadi na uenezi  wa CCM Taifa Nape  Nnauye akitembelea mabanda  ya maonyesho ya  wajasilia mali mjini Makambako kabla ya chama  chake  kuwapa msaada  wa Tsh milioni 10 kujiendeleza  zaidi
 Majembe  wa  CCM ,katibu mkuu  ndugu Abdlrahman Kinana na Nape Nauye  wakiwasili  uwanja  wa polisi Makambako kwa ajili ya mkutano mkubwa wa hadhara  uliofanyika hapo leo
 mbunge  wa  jimbo la Njombe kaskazin Deo Sanga kushoto akiwa na katibu mkuu wa CCM Taifa  Bw. Kinana na katibu  wa idara ya itikadi na uenezi  Taifa Bw Nape kulia mara  baada ya kuwasili uwanja  wa mkutano Makambako ambako  walizoa idadi ya  wanachama wapya 150 kutoka vyama  mbali mbali kikiwemo Chadema
 wajasilia mali makambako
 umati mkubwa  wa  wananchi  waliofika  ktk mkutano huo

 usafiri  wa  wananchi wa  pembezoni na makambako  waliofika  kusikiliza mkutano huo makambako
 ulinzi kama  kawaida  japo hakukuwa  na vurugu zozote 
 CCM  kitaendelea  kushinda  kwa  kuwa ni chama  kinachotekeleza ahadi  zake  kwa  vitendo-Nape
 Nape asema  CCM ndicho  chama  cha umma kwani kinawajali  kwa  moyo  wananchi  wake  si vyama vingine vyama  vya vurugu na maandamano

umati  wa  wanachama  wapya  waliojiunga na CCM baada ya  kufurahishwa na utendaji kazi  wa katibu mkuu Bw Kinana na Msaidizi  wake  mkubwa katibu wa idara  ya itikadi na uenezi Taifa Bw Nape Nnauye  ambao  walifika mjini Makambako Njombe
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA