Home » » MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KILOLO AFARIKI DUNIA GHAFLA USIKU HUU

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KILOLO AFARIKI DUNIA GHAFLA USIKU HUU

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, June 25, 2013 | 12:26 PM


 mfanyabiashara  maarufu  mkoani Iringa na kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Salim Abri Asas ( wa pili  kulia) akikabidhi msaada wa  mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 3 .2 kwa mkuu wa wilaya ya Kilolo Bw Gerald Guninita hivi karibuni  ofisini kwake  wanaoshuhudia ni mwenyekiti  wa Halmashauri ya Kilolo Joseph Mhumba ,kushoto na mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo Momahend Gwalima aliyefariki  dunia  leo
 Mkuu wa wilaya ya  Kilolo mkoani Iringa Bw Gerald Guninita (kushoto) akimkabidhi msaada wa bati 300 zenye thamani ya  zaidi ya shilingi milioni 8 ,mkurugenzi mtendaji  wa Halmashauri ya  Kilolo Mohamed Gwalima Aliyefariki dunia leo, mkuu  huyo  wa  wilaya  alikabidhi msaada  huo  wa bati baada ya  kukabidhiwa na mkurugenzi  wa kampuni ya  M.M Instegrated Steel  Mills ya jijini Dar es Salaam Bw  Subash Patel  kwa  ajili ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya  watoto  wa  kike wilaya  hiyo ya Kilolo
...............................................................

Habari zilizotufikia hivi punde chumba  chetu  cha habari katika  mtandao  huu  wa  www.francisgodwin.blogspot.com kuwa  aliyekuwa  mkurugenzi mtendaji  wa Halmashauri ya  wilaya ya  Kilolo mkoani Iringa Mohamed Gwalima amefariki dunia ghafla nyumbani kwake  Kilolo.

Akithibitisha  kutokea  kwa  kifo cha mkurugenzi huyo mkuu wa wilaya ya  Kilolo Gerald Guninita ambae yupo kikazi mjini Dodoma amesema kuwa mkurugenzi huyo amefariki ghafla nyumbani kwake baada ya  kuwasili  kutoka  safari  jijini Dar es Salaam.

Mkuu huyo wa wilaya  alisema  kuwa amepigiwa  simu  kujulishwa  juu ya kifo cha mkurugenzi huyo usiku  huu.

" Ni kweli  ndugu mwandishi  habari  hizo ni za kweli kabisa  nimepigiwa  simu  na mganga mkuu  wa wilaya ya Kilolo juu ya kifo  hicho"

Hata  hivyo alisema  kuwa mwili  wa marehemu  umehifadhiwa katika  Hospital ya Rufaa ya mkoa  wa Iringa.
Habari  zaidi  tutaendelea  kukupatia endeleo  kutembelea mtandao  huu

TUKIO  HILI KWA  UDHAMINI  WA HOPE SERVICE STATION HAPA HUDUMA NI MASAA 24 NA SHABIBY LINE USAFIRI  WA  UHAKIKA

 Wengi  hukimbilia  kununua mafuta hapa HOPE SERVICE STATION eneo la CRDB barabara ya Iringa -Dodoma katikati ya mji  wa Iringa  kituo  kinachouza mafuta masaa 24 ,wewe wasumbuka na nini  jiunge  na kituo  cha  wengi  sasa .
 KARIBU  UJAZE MAFUTA KWENYE GARI YAKO HAPA HOPE SERVICE STATION TUPO JIRANI NA BENKI YA CRDB MIYOMBONI BARABARA YA IRINGA DODOMA
 Hakuna   shida ya kuomba  kushuka  kuchimba dawa choo  cha  kisasa ndani ya basi kipo  
Ratiba kamili ya Shabiby Line( Simu 0654 777774) 
DAR- DOM  Saa 12.00 Asubuhi Saa 1.30( AINA  YA  BASI NI  SEMY LUXURY)saa  3;10 4.10 
Saa 5;20 (AINA YA BASI NI FULL LUXURY) Saa 8;50 Semy LUXURY DODOMA - SINGIDA ,ARUSHA  (AINA YA BASI  SEMY LUXURY ) kuondoka  saa 12 ;00 asubuhi  
DOM- MORO, CHALINZE , MOSHI NA ARUSHA  Kuondoka  saa 12.00 Asubuhi Aina ya gari Semy Luxury (SIMU 0654 777773 
 Kwa  mawasiliano  zaidi kwa Gairo Makao makuu 
 Tel 0654 777772 DOM 0654 777774, DAR 0719777779 ARUSHA 0715422222 
KARIBU  SASA  KATIKA  USAFIRI   SALAMA  WA  SHABIBY LINE USISUMBUKE KUULIZA USAFIRI ULINZA  SHABIBY KILA SIKU NA KILA  WAKATI  MTEJA KWETU NI SEHEMU YA FAMILIA 
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA