Home » , » MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA AMBAPO BUNGE LILISTISHWA BAADA YA HOTUBA YA KAMBI YA UPINZANI KUSOMWA NA MHE. WENJE

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA AMBAPO BUNGE LILISTISHWA BAADA YA HOTUBA YA KAMBI YA UPINZANI KUSOMWA NA MHE. WENJE

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 1, 2013 | 7:53 PM

         

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema wakiteta Bungeni Mjini Dodoma May 30,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema wakiteta Bungeni Mjini Dodoma May 30,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, January Makamba, Bungeni jini Dodoma, May 30,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0116 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiataifa, Bernad Membe akisoma bajeti ya Wizara yake, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, Joseph Mbatia, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0175 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa,Bungeni Mjini Dodoma May 30,2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0188 
Mbunge wa Mwanza Mjini Ezekiel Wenje akiongozwa na Mbunge wa Mtera,Job Lusinde (kushoto ) na Ofisi wa Bunge ( jina halikupatikana) kutoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma baada ya hotuba yaupinzani kuhusu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa aliyokuwa akiisoma kupingwa na wabunge wa CUF, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013/ (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu),
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA