Home » » KUMEKUCHA REDD'S MISS MOROGORO KUJULIKANA LEO , NAF BAECH HOTEL YAMWANGA PESA ZA UDHAMINI

KUMEKUCHA REDD'S MISS MOROGORO KUJULIKANA LEO , NAF BAECH HOTEL YAMWANGA PESA ZA UDHAMINI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 15, 2013 | 5:35 AM

Ukumbi  wa  Hotel Nashera  ambako Miss Morogoro 2013 atapatikana leo kwa udhamini mkubwa wa NAF BEACH HOTEL Mtwara  utapata matangazo ya  moja kwa  moja 'LIVE'  kupitia mtandao huu
washiriki 10 wa taji hilo  wakifurahia  udhamini mkubwa wa NAF BEACH HOTEL MTWARA
Kila mshiriki  kunufaika na udhamini wa NAF BEACH Hotel
Mratibu  wa  shindano hilo Bw. Frank Kikambako  akieleza  jitihada  kubwa  za NAF BEACH HOTEL katika  kuendelea  kudhamini mashindano hayo mkoani Morogoro ambapo  wadhawa  wa Morogoro wamekuwa nyuma  kudhamini
Wanahabari wakijitambulisha
Mwakilishi  wa Hotel  za NAF BEACH HOTEL NA FAN CITY  Hotel  kubwa  na  za Kisasa mkoani Mtwara  na Lindi Nzima Bw Rama Chalinze akieleza  jitihada za Hotel hizo katika  kuisaidia  serikali kukuza ajira kupitia urembo
Mwakilishi  wa Hotel  za NAF BEACH HOTEL NA FAN CITY  Hotel  kubwa  na  za Kisasa mkoani Mtwara  na Lindi Nzima Bw Rama Chalinze akikabidhi kitita cha  fedha  za udhamini wa shindano hilo kwa mgeni rasmi diwani  wa kata ya Mbuyuni mjini Morogoro Samwel Msuya (kulia) ambae ni katibu wa madiwani  wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
Jitihada za Hotel za NAF mkoani Mtwara  katika mashindano ya urembo Morogoro
Mratibu  wa mashindano  ya Miss  Morogoro Bw Frank kushoto akipokea fedha kutoka kwa  diwani fedha toka  kampuni ya NAF BEACH HOTEL Mtwara
Mgeni rasmi   katika hafla ya NAF Beach Hotel kukabidhi udhamini  wake  diwani  Samwel Msuya (katikati  kushoto) akiwa na mwakilishi  wa kampuni ya Hotel za NAF BAECH HOTEL Mtwara Rama Chalinze leo baada ya  kukabidhi udhamini wa mashindano hayo ,wengine ni  washiriki wa taji  hilo  leo
Diwani  wa kata ya Mbuyuni na katibu  wa Madiwani Halmashauri ya manispaa ya Morogoro Mhe.Samwel Msuya( katikati) akiwa na  wanahabari maarufu mkoani Morogoro
Udhamini  wa NAF BEACH Hotel

Hawa  ndio warembo  watakaowania  taji la Redd's Miss Morogoro leo nani  kuwakilisha taifa ?

Washiriki  wa Redd's Miss Morogoro ambao  wapo kambi Hotel ya SAVOI Morogoro ni pamoja na   Pendo David (19),Farida  I. Banzi (18), Saidath Khamis(19),Sabra Islam(18),Saphia Chuma(20), Diana Laizer (21), Alexia Shayo(18), Neema Joel(20),Ummy Mohamed(21) na Muzne Abdully(19) washiriki hawa  leo  kupanda  jukwaani  kusaka mrembo wa  mkoa  wa Morogoro,hapa  wakiwa na wadhamini wa shindano  hilo na matangazo ya 'LIVE" kupitia mtandao huu  wa www.francisgodwin.blogspot.com na www.matukiodaima.com  , kampuni ya HOTEL za NAF BEACH MTWARA Bw Rama Chalinze kulia na diwani Samwel Msuya aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi udhamini  wao

  Matangaza haya  kwa udhamini  wa NAF Beach Hotel Mtwara  ipo  mbioni kufunguliwa
Hii ndio  Hotel ya  Kisasa  ya  NAF Beach Hotel  iliyopo  Mtwara  na  ipo mbioni kufunguliwa  hivi karibuni ,NAF Beach Hotel  leo   kuwa  wadhamini wa  onyesho la Redd's Miss  Morogoro ambapo  warembo 10   wa  ukweli  kusaka taji  hilo
SSL20260naf 3
NAF BLUE VIEW HOTEL IPO MTAA WA SINANI MANISPAA YA MTWARA/MIKINDANI
SSL20315SSL20255
INATOA HUDUMA ZA MALAZI,CHAKULA PIA INA CHUMBA MAALUM CHA MAZOEZI(GHYM)
naf 4SSL20313
AIDHA INATOA HUDUMA ZA KUPOKEA WATALII MBALIMBALI WANAOFIKA MKOANI
HUMO KUPITIA KAMPUNI YA NAF BLUE TOURS
WOTE MNAKARIBISHWA...
IPO JIRANI NA STAND KUU YA YA MABASI MKOANI MTWARA naf 6 WASILIANA NASI
P. o Box 179 Mtwara
Tel. 0232334465 Fax 0232334466
mobile;0776467066/ 0683467066
Email;
nafblueviewhotel@gmail.com

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA