Home » » KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA ZA UKWAMA NA INIHO MAKETE

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA ZA UKWAMA NA INIHO MAKETE

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 1, 2013 | 7:54 PM

1 

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho Wilayani Makete wakati alipotembelea kata hiyo katika ziara yake ya mkoa wa Njombe leo, Kinana yuko mkoani Njombe kwa ajili ya shughuli za kuimarisha chama na kukagua miradi ya maendeleo katika kusimamia serikali ili kutekeleza ilani ya chama hicho na kuwahimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MAKETE6 
Naibu Waziri wa Maji na mbunge wa jimbo la Makete Injinia , Dk. Bilinith Mahenge akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata hio wakati Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipotembelea kata hiyo 8 
Mkuu wa Wilaya ya Makete Bi. Josephine Matiro akizungumza na wananchi kuelezea jinsi serikali inavyotekeleza miradi ya maendeleo katika wilaya hiyo.9 
Wananchi wa Kata ya Iniho wakiwa katika mkutano huo 10 
Kikundi cha ngoma kikicheza ngoma ya asili ya kinyakyusa inayoitwa Ing’oma. 17 
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA