Home » » KANISA LA KKKT DAR LALIPULIWA KWA BOMU

KANISA LA KKKT DAR LALIPULIWA KWA BOMU

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, May 11, 2013 | 5:36 AMRais Jakaya Kikwete
Taarifa zilizotufikia hivi punde,zinasema kuna Bomu limelipuka katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania (KKKT), Kunduchi jijini Dar es Salaam.
bomu hilo linadaiwakurushwa na mtu aliyekuwa anatembea kwa miguuu,Taarifa hizi tunazifuatilia zaidi katika vyombo vya usalama kupata ukweli wa tukio hilo.
Habari zaidi zitaendelea kukujia ...................
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA