Home » » KANISA LA KATOLIKI ARUSHA LADAIWA KULIPULIWA LEO

KANISA LA KATOLIKI ARUSHA LADAIWA KULIPULIWA LEO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, May 5, 2013 | 2:40 AMKiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni ,Papa Francis
............................................................................
Taarifa kutoka mkoani Arusha ambazo mtandao huu wa www.matukiodaima.com umezipata zinaeleza kuwa kuna mlipuko mkubwa mfano wa bomu umejitokeza katika kanisa la RC Arusha na kujeruhi baadhi ya waumini.

Mlipuko huo unadaiwa kusababisha taharuki kubwa katika mji wa Arusha na kuendelea kuiweka nchi katika hali tete zaidi .

mwandishi maalum wa mtandao huu kutoka Arusha anasema kuwa tukio hilo limetokea katika parokia ya Olasit mjini Arusha na bado jitihada za uokoaji zinaendelea kufanyika
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA