Home » » HYPERLINK SCHOOLS OF TANZANIA SASA IMEHAMIA ENEO LA MLANDEGE MWISHO WA LAMI

HYPERLINK SCHOOLS OF TANZANIA SASA IMEHAMIA ENEO LA MLANDEGE MWISHO WA LAMI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, May 14, 2013 | 11:23 AM


Shule  hii  ipo barabarani kabisa Mlandege mwisho  wa lami upande wa kulia kama unaelekea Kidamali na mkono  wa kushoto kama unatoka  Kidamali    

Awali ilikuwa na matawi Kihesa, Ipogolo na Mlandege kama inavyoonyesha hapa juu katika tangazo hilo   ila sasa ni Mlandege mwisho wa lami pekee   
......................................................................................................    

Kumbuka  iwapo  unahitaji  mtoto wako  kupata  elimu  bora  zaidi yenye kumjenga kimaisha  zaidi ,mlete  mwanao hapa  ili apate elimu  yenye kumwezesha  kuja  kuwa kiongozi ama msomi mwenye  kulikomboa Taifa .
 
Tunapokea  watoto  kuanzia  kutoka pande zote za mji wa Iringa usafiri  hadi nyumbani kwako ,pia  huduma ya  chakula na uji ipo ada  zetu ni zaidi ya  bure .
 
Piga  simu    0767 030406
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA