Home » » WATUMA SALAM NYANDA ZA JUU KUSINI WASAIDIA WATOTO YATIMA

WATUMA SALAM NYANDA ZA JUU KUSINI WASAIDIA WATOTO YATIMA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, April 16, 2013 | 1:09 AM

mudy ff77e
Mudi Mambo katibu wa wachama cha watuma salaamu Iringa akikabidhi Msaada wa galoni ya Mafuta ya kula kwa Mlezi wa watoto, Emiliana Makasi. Msaada huo una thamani ya Tsh. 212.500.mudy2 7398a

Kwame Mwenda mwanasalamu muwakilishi kutoka Mufindi akimkabidhi  msaada wa katoni ya Sabuni  Emiliana  Makasi mlezi wa watoto yatima wa kituo cha Huruma.

mudy3 d1233

Wanasalamu wa nyanda za juu kusini wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima kwenye kituo cha Huruma, Iringa (Chanzo: Said Ng’amilo).
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA