Home » , » TANGAZO , OFISI NA NYUMBA INAPANGISHWA MJINI IRINGA

TANGAZO , OFISI NA NYUMBA INAPANGISHWA MJINI IRINGA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Thursday, April 18, 2013 | 3:58 PM


Kwa  yeyote anayehitaji  chumba kwa ajili ya ofisi katikati ya mji  wa Iringa  kinapatikana jengo la benki ya Posta jirani na mnala  wa Manispaa ya Iringa ,kodi  kwa mwezi ni Tsh 150,000 na unatakiwa  kulipa kodi ya mwaka mzima ,pia  kuna nyumba ya kisasa  ipo eneo la Pawaga Road mjini Iringa kabla ya kufika msikiti  wa Ilala inapangishwa kwa kodi ya Tsh 250,000 kwa  nyumba  zima kodi ya miezi  sita unatakiwa  kulipia kama  wahitaji  huduma  hizi piga  simu namba 0754 026 299 /0712 750 199
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA