Home » » SAIDIA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU ANATESAKA

SAIDIA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU ANATESAKA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Thursday, April 18, 2013 | 4:00 PM

Kama  ni mateso  basi  mtoto  huyo ni miongoni  mwa  watu  wanaoteseka  kutoka na uvimbe  huu unaomtesa na mzazi  wake  kushindwa  uwezo  wa kumpeleka  Hospitali kutokana na kukosa  uwezo  wa kifedha mtoto  huyo ni mkazi  wa mjini Iringa na babake BW. Godfley Mofugaanafanya kazi ya kuendesha daladala na mfukoni hana chochote  hivyo mtandao  huu  wa www.matukiodaima.com unakuomba  wewe mdau kujitokeza kuchangia  chochote kwa namba  hii  ya M-PESA 0754321828
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA