Home » » MTOTO ALIYEKUWA AKISUMBULIWA UVIMBE SHINGONI AMEFARIKI DUNIA

MTOTO ALIYEKUWA AKISUMBULIWA UVIMBE SHINGONI AMEFARIKI DUNIA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, April 27, 2013 | 12:40 PM  Mtoto  huyo ni mkazi  wa mjini Iringa na babake BW. Godfley Mofuga anafanya kazi ya kuendesha daladala amefariki  dunia akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisubiri matibabu baada ya  kuchukuliwa vipimo .

Mtandao  huu  wa www.francisgodwin.blogspot.com na www.matukiodaima.com unawashukuru wadau wote ambao mlijitolea michango yenu kwa ajili ya  kumsafirisha mtoto huyu kwenda  kuanza matibabu ila kazi yake mola haina makosa

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA