Home » » MSANII INSPECTOR HARUN KUPAGAWISHA MTERA -MIGOLI KESHO IJUMAA

MSANII INSPECTOR HARUN KUPAGAWISHA MTERA -MIGOLI KESHO IJUMAA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Thursday, April 18, 2013 | 3:56 PM


Msanii  maarufu nchini wa muziki  wa kizazi   kipya  Inspector Harun kesho  ijumaa anataraji  kufanya  onyesho  kubwa katika Ukumbi  wa Mahenge eneo la Mtera /Migoli katika  jimbo la Ismani  huku  akisindikizwa na  wasanii  wenyeji  wa mkoa  wa Iringa akiwemo Man Simpo  na Man Kichefu ,show  hiyo itafanyika  katika  Ukumbi  wa Mahenge kwa  kiingilio cha Tsh 5000 wakati  Jumamosi atakuwa katika  ukumbi wa Ras Chege Ilula jimbo la Kilolo akiendeleza  libeneke pia 

Show  hizi  zinaletwa  kwenu  kwa usimamizi mkubwa  wa kituo cha  radio  Nuru Fm Iringa 
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA