Home » » HII NDIO NDEGE NDOGO ALIYOKODI LOWASSA NA SWAIBA ZAKE KUJA IRINGA JANA

HII NDIO NDEGE NDOGO ALIYOKODI LOWASSA NA SWAIBA ZAKE KUJA IRINGA JANA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, April 22, 2013 | 5:48 AM

 Hii  ndio  ndege  ndogo ambayo waziri  mkuu  mstaafu Edward  Lowassa na  swaiba  zake Deo Filikunjombe (Ludewa) Ritta kabati (viti maalum mkoa  wa Iringa) Kangi  Lugola (Mwimbara) na Mendrady Kigola  ( Mufindi Kusini)  waliitumia kutoka  Dodoma  kuja  Iringa katika harambee  ya kanisa la OPC Iringa
 Deo  Filikunjombe akishuka katika  ndege  hiyo
 Lowassa akishuka  katika  ndege  hiyo jana

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA