Home » »

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, June 10, 2012 | 8:02 AM

WANANCHI IRINGA WAMLILIA MOSES HANS POPPE WENGI WAJITOKEZA KUMZIKA

Ndugu wa marehemu Moses wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shuguli ya mazishi

Mke wa marehemu Stella pamoja na watoto wakiweka shada la maua katika kaburi.
Mjomba wa marehemuBaadhi ya ndugu wa karibu waliohudhuria katika shughuli ya maziko
Mjomba wa marehemu akiwa ameambatana na mama wa marehemu moses wakielekea makaburini mkanyageni Manispaa ya Iringa.
Ndugu na jamaa wakitoa heshima zao za mwisho kwa marehemu

Ndugu wa familia ya marehemu
Padre aliyeongoza misa akiwa mbele ya mwili wa marehemu na ndugu zake kwa sala maalum
Pacha wa marehemu wa kwanza akishiriki komnio


SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MOSES HANS POPPE

Baadhi ya waliohudhuria katika msiba
kaka wa marehemu katikati Caesar Hans Poppe akiongea na ndugu waliohudhuria katika msiba
Ndugu wa marehemu wakiomboleza nyumbani kwa marehemu baada ya Mwili kuletwa.wa kwanza kulia kwa waliokaa katika kochi ni mke wa marehemu Moses
Baadhi ya Ndugu wakiwa wameubeba mwili wa marehemu
MOSES HANS POPPE ENZI ZA UHAI WAKE
Msiba wa marehemu Moses Hans Poppe Nyumbani kwa kwake Mkimbizi Msikitini

kwa mujibu wa kaka wa marehemu Caesar anaeleza kuwa marehemu kwa kipindi cha mwezi mmoja alikuwa anasumbuliwa na kichwa hivyo kwenda hospital ya Hindu Mandal iliyopo Dar es salaam kwa matibabu na ndipo alipogundulika kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ini.

Caesar anaendelea kueleza kuwa marehemu ambaye elimu yake ya awali aliipata Iringa katika shule ya Msingi Wilolesi na sekondari ya Higland akaenda Sweeden kwa Masomo zaidi.

Marehemu wakati akiendelea na matibabu aliamua kwenda Iringa kwa kaka yake kwa mapumziko na ilipofika siku ya Alhamis tarehe 07/06 2012 ndipo umauti ulipomfika.

Marehemu Moses alizaliwa tarehe 30/06/1962 ameacha mjane na watoto wawili.Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Mkanyageni.

MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU AMINA.


Matangazo haya kwa udhamini mkubwa wa FANY CITY LODGE

FAN CITY LODGE IPO MANISPAA YA MTWARA /MIKINDANI NI LODGE BORA YENYE HADHI ZAIDI

Furahia usiku wako ndani ya Fan city lodge ipo Manispaa ya Mtwara/Mikindani Maeneo ya Rahaleo jirani na ofisi za TRA mkoa waMtwara
Ni Lodge ya kisasa mtwara /Mikindani ukifika utaipenda zaidi
Mwonekano mzuri wa Lodge hii ni heshima kubwa kwa thamani ya fedha zako
Kila mmoja hufurahia huduma zetu ukifika hapa hutapenda kufikia Lodge nyingine uwapo Mtwara
Huduma za za mazoezi(GYM) pamoja na INTERNET wakati wote uwapo ndani ya chumba chako
Vitanda ni vya kisasa hakuna mfano
Fan city lodge ipo Manispaa ya Mtwara/Mikindani Maeneo ya Rahaleo
jirani na ofisi za TRA mkoa waMtwara

Wanatoa huduma za malazi,chakula na Usafiri wa ndani na nje ya
mkoa ni pacha na Naf Blue view hotel

huduma za za mazoezi(GYM) pamoja na INTERNET wakati wote uwapo lodge

Waweza kuwasiliana kwa namba
0652 295186 na 0788 030504
MTWARA...
WOTE MNAKARIBISHWA KUPATA HUDUMA BORA NA ZA KISASA ZAIDI SAWA NA MALIPO ULIYOTOA


Habari mpya za leo Bofya Hapa
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA