Home » , , » hhhhhhhhhhhhhh

hhhhhhhhhhhhhh

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 16, 2012 | 9:18 PM

MHARIRI WA GAZETI LA JAMBOLEO WILLY EDWARD AMEFARIKI DUNIA GAFLA


Habari za kusikitisha zilizotua katika mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com asubuhi hii kutoka mkoani Morogoro zinaeleza kuwa aliyekuwa mhariri wa habari wa gazeti la Jamboleo Willy Edward (pichani) amefariki dunia .

Willy Edward alikuwepo mkoani Morogoro katika mafunzo ya siku moja pamoja na wanahabari wengine na kuwa inadaiwa alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu kwa muda mrefu .

mpenzi mdau wa mtandao huu habari zaidi juu ya kifo cha Willy Edward utaendelea kuzipata zaidi katika mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com

Sote tulimpenda sana Willy Edward ila Mungu kampenda zaidi yetu hivyo jina lake Mungu na lihimidiwe zaidi .

Amina
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA