Home » » MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAKURUGENZI WA TPDC NA TIC

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAKURUGENZI WA TPDC NA TIC

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, November 2, 2011 | 4:54 AM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mafuta nchini (TPDC), Yona Killagane, wakati walipokutana kwa mazungumzo Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo Kushoto ni Mkurugenzi Masoko na Uwekezaji wa Shirika hilo, Dismas Fuko
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati walipofika ofisini kwake jijini Ikulu Dar es Salaam leo Picha na muhidin Sufiani-OMR


Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA