Home » » ZOEZI LA UREJESHAJI FOMU ZA UDIWANI KATA YA KITANZINI NA GANGILONGA IRINGA LEO ,CHADEMA NI FUNGA KAZI

ZOEZI LA UREJESHAJI FOMU ZA UDIWANI KATA YA KITANZINI NA GANGILONGA IRINGA LEO ,CHADEMA NI FUNGA KAZI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Thursday, September 8, 2011 | 12:41 PM

Wafuasi wa Chadema wakiwa wamemnyanyua juu juu mgombea udiwani wa kata ya Kitanzini Gervas Kalolo leo wakati akienda kurudisha fomu


Mwwanafunzi mhitimu wa darasa la saba akishabikia maandamano ya chadema yaliyokuwa yakipita mitaa ya GangilongaMgombea udiwani kata ya Kitanzini Miyomboni Gervas kalolo (kushoto) akiwa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa wakati wa maandamano ya kwenda kurudisha fomu leo mchana


Mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga Edwin Sambala (kushoto) akiwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao (chadema) wakiwa katika maandamano ya kwenda kurudisha fomu leo


Msafara wa magari yaliyowasindikiza wagombea udiwani wa Chadema leo

Mashibiki wa Chadema wakicheza kiduku nje ya ofisi ya msimamizi wa uchaguzi kata ya Kitanzini KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPAShare this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA