Home » » 'LIVE' MR&MISS RUCO WAKIONYESHA VIPAJI VYAO MMOJA ARUSHIWA CHUPA

'LIVE' MR&MISS RUCO WAKIONYESHA VIPAJI VYAO MMOJA ARUSHIWA CHUPA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, May 21, 2011 | 3:30 PM

WASHIRIKI MR&MISS RUCO WAKIPANDA NA VAZI ASILI'LIVE"

'LIVE" UTAMBULISHO WA MR&MISS RUCO


MR&MISS RUCO USIKU HUU IRINGA

Majaji wakitambulishwa

Mmimiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin akijitambulisha katika ukumbi wa RUco
Timu ya mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com ikiwajibika hapa ni mwanahabari Clement Sanga akiendelea kuweka matukio
ukumbi umeanza kupendeza hawa ni wadau wa mtandao huuDJ MUBA AKIWA KAZINI NDANI YA UKUMBI WA RUCO
Hawa ni baadhi ya wadhamini wa onyesho hilo la MR&MISS RUCO 2011Washiriki wa taji la MR&MISS RUCO watakaopanda jukwaani usiku huu
Hivi sasa wapenzi wa burudani hii ya urembo wanaingia ndani ya ukumbi ,usiku huu wasani Mwasiti Almas na Izzo Bussiness watawasha moto
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA