Home » » BREAKINGNEWs DAMU YAMWAGIKA SIKU YA WAPENDANAO MBEYA

BREAKINGNEWs DAMU YAMWAGIKA SIKU YA WAPENDANAO MBEYA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, February 15, 2011 | 9:12 AM

"Jamanii nisameheni nimekufa "kama anasema vile baada ya kujilaza jirani na mlemavu
Ili nipone kufa hapa lazima nimtumia huyo mlemavu kama ngao vinginevyo hawa wananchi wananiua
Mkiendelea kunipiga mawe na kunikata mapanga naua huyu mlemavu
hapa akiwa amemng'ang'ania mlemavu kama ngao yake ili kukwepa kuchomwa moto
hapa akitembeza kichapo kwa wananchi waliotaka kumwokoa mlemavu
Polisi wakisaidiwa na mgambo kumdhibiti mvuta bangi huyo mwenye nguvu za ajabu
hapa akifungwa kamba na wananchi
matunda yaliyokatwa mapanga na mvuta bangi huyo
wananchi Mbeya wakiangalia gari la polisi lililombeba jemba huyo
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA