Home » » BALOZI WETU NCHINI CANADA

BALOZI WETU NCHINI CANADA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, September 25, 2010 | 2:05 AM

Balozi wa Tanzania nchni Canada Mhe. Alex Crescent Massinda akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mheshimiwa Michaelle Jean. Sherehe hizo zilifanyika kwenye Ikulu ya Canada siku ya tarehe 23,mwezi huu.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA