Home » » 'LIVE' UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA IRINGA NDANI YA VIWANJA VYA MWEMBETOGWA

'LIVE' UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA IRINGA NDANI YA VIWANJA VYA MWEMBETOGWA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, August 28, 2010 | 12:29 AM


Diwani wa kata ya Iringa Bw Gerevas Ndaki akiwa katika viwanja wa mkutano wa kampeni ,wananchi wameanza kujsogea katika viwanja hivi sasa wakati maandamano makubwa yampangwa kuanzia uwanja wa samora umbali wa KM 2 hivi kutoka uwanja wa mkutano Kumbuka mtandao huu leo utakurushia matukio ya moja kwa moja ya uzinduzi huu wa mkutano wa CCM mkoa wa Iringa


Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bi.Geogena Bundala (kushoto) na katibu wa CCM wilaya ya Ludewa wakiteta jambo baada ya kuingia katika viwanja vya Mwembetogwa dakika 5 zilizopita kuja kushiriki uzinduzi wa kampeni wa CCM ,picha chini ni wana CCM wakiingia katika uwanja huo kutoka vijijini


Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA