Home » » MWANA F.A NA AY WAMCHANGIA FEDHA ZA UBUNGE VIOLET MZINDAKAYA

MWANA F.A NA AY WAMCHANGIA FEDHA ZA UBUNGE VIOLET MZINDAKAYA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, July 6, 2010 | 8:23 AMMsanii maarufu nchini wa muziki wa kizazi kipya AY akimkabidhi mwanahabari na kada wa maarufu wa CCM Violet Mzindakaya ambaye ni mjumbe wa NEC taifa na katibu msaidizi wa idara ya Idikadi na uenezi CCM mchango wa pesa kiasi cha shilingi laki moja zilizochangwa na Mwana F.A na AY kwa ajili ya kumpa shavu kada huyo kwenda kugombea ubunge viti maalum kupitia Umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT-CCM) mkoa wa Rukwa ,fedha hizo zilikabidhiwa jioni hii jijini Dar es Salaam


"Mwanzo mzuri hii ni safari yangu kwenda mkoani Rukwa kuanza kazi muda ukifika ",mtandao huu unamtakia mafanikio katika safari hiyo BOFYA HAPA
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA