Home » » MKAZI WA SHWASHWA DODOMA AKUMBWA NA UGONJWA WA AJABU AOMBA MSAADA WA MATIBABU

MKAZI WA SHWASHWA DODOMA AKUMBWA NA UGONJWA WA AJABU AOMBA MSAADA WA MATIBABU

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Thursday, July 8, 2010 | 5:37 AM


Mwanamke mjane Elizabet Sanga (70) mkazi wa Shwashwa mjini Dodoma akiwa eneo la viwanja vya bunge asubuhi ya leo kuomba msaada kutoka kwa wabunge na watu wanaopita eneo hilo mwanamke huyu anahitaji kufanyiwa upasuaji wa uvimbe huu ambao ulianza kama kipele

Hapa akitoka chooni nyumbani kwake

Hapa akifanya usafi kutokana na kukosa ndugu wa kumsaidia baada ya mume wake kuuwawa na majambazi miaka 10 iliyopita

Hapa akiwa nje ya nyumba yake

Hapa akitoka kutafuta kuni za kupikia chakula
Mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin akizungumza na mwanamke huyo nyumbani kwake Shwashwa mjini Dodoma asubuhi ya leo ,

Hapa nikitoka nyumbani kwa mwanamke huyo umbali wa KM 7 kutoka ofisi za bunge

Hapa nikielekea nyumbani kwa mwanamke huyo

Hapa tukishuka nyumbani kwake

Hapa aningia nyumbani kwake

Hapa nikimpokea kuni

Akitoka kutafuta kuni

mtaa anaoishi

Hii ni sebule yake Bofya hapa
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA