Home » » VIONGOZI WA KIJIJI CHA NUNDWE MUFINDI WATUHUMIWA KWA UFISADI WANANCHI WAGOMEA MKUTANO WA HADHARA

VIONGOZI WA KIJIJI CHA NUNDWE MUFINDI WATUHUMIWA KWA UFISADI WANANCHI WAGOMEA MKUTANO WA HADHARA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, March 31, 2010 | 9:04 AM

Ufisadi wa kutisha wakwamisha maendeleo katika kijiji ch Nundwe kata ya Ihalimba jimbo la Mufindi Kaskazini ambako wananchi wamefikisha malalamiko yao kwa mtendaji wa kata juu ya ufisadi huo bila kushughulikiwa. Wanaotuhumiwa ni mwenyekiti wa chama tawala na katibu wake ngazi ya kijiji ambao wanadaiwa kuuza msitu wa chama na ardhi ya kijiji ekari 80 kinyemela. Hatua ya mtendaji wa kata kunyamaza kimya imepelekea leo wananchi kugoma kuendelea kumsikiliza katika mkutano wa kuhamasisha maendeleo alio uandaa . Mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com na kipindi cha Morning Talk kesho Alhamis majira ya saa 2. 30 Asubuhi kupata kuzungumza na wananchi na viongozi katika viwanja vya ofisi ya kijiji juu ya kero hiyo.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA