Home » » MAMIA WAJITOKEA KUMZIKA MWEKA HAZINA IRINGA SALAM CLUB

MAMIA WAJITOKEA KUMZIKA MWEKA HAZINA IRINGA SALAM CLUB

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, February 9, 2010 | 12:13 PM


Wadau wa salam mkoa wa Iringa wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mweka hazina wa Iringa salam Club marehemu Mikidadi Mgimwa aliyezikwa leo katika makaburi ya makanyagio Iringa


Katibu mkuu Iringa Salam Club Mood Mambo (kulia) akitoa maelekezo kwa wanasalam kabla ya mazishi leo

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA