Home » » TRAFFIC IRINGA SASA WAJIPANGA ZAIDI ,MADEREVA NA WAMILIKI WA MABASI WAZEMBE KUBANWA.................

TRAFFIC IRINGA SASA WAJIPANGA ZAIDI ,MADEREVA NA WAMILIKI WA MABASI WAZEMBE KUBANWA.................

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, October 6, 2009 | 2:35 AM

R.T.O Iringa K. Mnubi akizungumza na askari wa usalama barabarani mkoa wa Iringa mara baada ya kumalizika kwa semina elekezi iliyolenga majukumu ya Sumatra katika udhibiti wa usafiri wa barabarani


Askari wa usalama barabarani Iringa wakiwa darasani


Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na meneja ufundi wa usalama ,kurugenzi ya udhibiti usafiri wa barabarani (SUMATRA) Aron Kisaka ( wa tatu waliokaa mbele) wengine kutoka kushoto ni mwenyekiti wa Sumatra Iringa Abed Kiponza mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Iringa (RTO) K. Mnubi ,mratibu wa Sumatra ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa Kissoka Mpe na A.S.P Bonaventura Nsokolo kutoka Traffic makao makuu
Darasa linaendelea kwa utulivu mkubwa
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA