Home » » HILI NDILO JENEZA ............

HILI NDILO JENEZA ............

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Thursday, September 24, 2009 | 1:29 PM















Hili ni jeneza ambalo la kwanza kutengenezwa mkoani Iringa kwa elimu kutoka nchini Afrika ya kusini ,jeneza hili limekuwa likiuzwa kati ya shilingi laki saba hadi nane na sehemu kubwa ya wakazi wa mkoa wa Iringa wamekuwa wakipenda kuonyesha uwezo wao katika mazishi kwa kupenda kuzikia ndugu na jamaa zao katika majeneza yenye hadhi kama haya


Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA